ANGALIA LIVE NEWS

Friday, September 5, 2014

URAIA PACHA/DUAL CITIZENSHIP by Dr. Eustace L Kaijage, Chicago, IL


 Hadhi ya watu wenye asili au nasaba ya Tanzania
SUMMARY:
1(1)    Improve/Boresha Article 59. By removing any reference to dual citizenship or “kwa kupata uraia wa nchi nyingine”. Isomeke,
“[Article] 59. Bila ya kuadhiri mashariti yaliyomo kwenye Sura  hii, mtu yeyote mwenye asili au nasaba ya Tanzania na ambaye si raia wa Jamhuri ya Muungano, atakapokuwa katika Jamhuri ya Muungano, atakuwa na hadhi kama itakavoainishwa katika sharia za nchi.” This in effect directs parliament/ government to introduce some status like “permanent residence” for all people “wenye asili au nasaba ya Tanzania”.
2(2)    Insert another separate article which allows dual citizenship.
If dual citizenship becomes too much of a contentious issue, let the constitution remain silent on dual citizenship, and as in the current constitution leave it up to the Tanzania government and parliament to decide when drafting/amending  laws pertaining to citizenship.
 
MAELEZO/UFAFANUZI:
Hadhi ya watu wenye asili au nasaba ya Tanzania
[Article] 59. Bila ya kuadhiri mashariti yaliyomo kwenye Sura  hii, mtu yeyote mwenye asili au nasaba ya Tanzania na ambaye ameacha kuwa raia wa Jamhuri ya Muungano kwa kupata uraia wa nchi nyingine, atakapokuwa katika Jamhuri ya Muungano, atakuwa na adhi kama itakavoainishwa katika sharia za nchi.
To amend as follows:
[Article] 59. Bila ya kuadhiri mashariti yaliyomo kwenye Sura  hii, mtu yeyote mwenye asili au nasaba ya Tanzania na ambaye ameacha kuwa si raia wa Jamhuri ya Muunganokwa kupata uraia wa nchi nyingine, atakapokuwa katika Jamhuri ya Muungano, atakuwa na hadhi kama itakavoainishwa katika sharia za nchi.
That is,
[Article] 59. Bila ya kuadhiri mashariti yaliyomo kwenye Sura  hii, mtu yeyote mwenye asili au nasaba ya Tanzania na ambaye si raia wa Jamhuri ya Muungano, atakapokuwa katika Jamhuri ya Muungano, atakuwa na hadhi kama itakavoainishwa katika sheria za nchi.
DISCUSSION:
Kwa kusema “ambaye ameacha kuwa raia wa Jamhuri ya Muungano kwa kupata uraia wa nchi nyingine,” Rasimu ya Katiba inakataza (prohibits) uraia wa nchi mbili. Serikali haitaruhusiwa kupitisha sheria inayoruhusu uraia wa nchi mbili bila kubadilisha katiba.
Kwa sasa kuna watu wenye asili/nasaba ya Tanzania ambao tayari wana uraia wa nchi mbili, zisizo Tanzania. Kwa mfano, raia wa Tanzania,
a)    Amechukua uraia wa Amerika (USA)
b)    Ameoa au ameolewa na raia wa Kenya baada ya kuwa raia wa USA.
c)    Amezaa mtoto baada ya kuwa raia wa USA. Kwa katiba/sheria ya sasa ya uraia wa Tanzania huyo mtoto si raia wa Tanzania, Lakini, ana asili au nasaba ya Tanzania kupitia kwa mama yake na wazazi wa mama yake (grandparents).
d)    Huyu mtoto mwenye asili/nasaba ya Tanzania hausiki na uraia pacha wa Tanzania, kwa sababu tayari ana uraia pacha wa USA na Kenya.
e)    Je huyu mtoto anaweza kurithi mali ya babu au bibi yake Tanzania? Article #59 iliyoboreshwa kama hapo juu inalazimisha bunge/serikali kulijibu hilo swali.
Eustace L. Kaijage Ph.D.
Contact,
Telephone:
Up to September 14, 2014 (USA): +17087674841
From September 15, 2014 to March 7, 2015 (TANZANIA): +255768736741 (VODA), +255654748740 (tigo), +255786748740 (airtel), +255774748740 (zantel)
After March 7, 2015 (USA): +17087674841
 
Eustace L. Kaijage BIO:
Dr. Eustace L. Kaijage was born in Bukoba, Tanzania. He holds a Bachelor of Science in Industrial Engineering (BSIE), an MBA and Ph.D. in Management Sciences, all from the Illinois Institute of Technology in Chicago, Illinois.
Dr. Kaijage is now retired after working for Johnson’s Products and Soft Sheen Products for several years in Chicago. In Tanzania and Kenya Dr. Kaijage worked for East African Railways Corporation, East African Meteorological Department, and Sigara Co. where he was the first Tanzanian Production Manager.
Dr. Kaijage has been a true leader in the Tanzanian Community in Chicago. He is a founding member and advisor, a former vice president and board member of Tanzanian Community Association Midwest-USA (TCA). He is also a founding board member of the United African Organization (UAO) of the various African national organizations/associations in Illinois. A founding member of Chama cha Mapinduzi (CCM) branch in Chicago, Illinois, USA.
Dr. Kaijage’s connections in the city of Chicago have always been of immense help to the Tanzanian community.
During the academic year of 1964/1965 he was simultaneously,
1)    Speaker, University of Nairobi Students Union.
2)    President, University of Nairobi Tanzania Students Union.

3)    President, University of Nairobi Engineering Students Union.

1 comment:

Anonymous said...

Ndugu Kaijage,

Nafikiri hujaelewa tofauti sheria ya raia wa nchi mbili na sheria za uhamiaji ambazo sio lazima ziwemo kwenye katiba.

Kama ulivyo nukuu, Rasimu ya katiba inakataza(prohibits) uraia wa nchi mbili.

Na ukaendelea kuwa serikali haitaweza kupitisha sheria inayohusu uraia wa nchi mbili, ni sawa kabisa.

Lakini sasa, serikali inaweza kutunga sheria kama alivyosema Warioba kuwa, kuhusu suala la uhamiaji ya hao watanzania ambao wana uraia wa nchi nyingine, sio kama unawapa uraia, ila inawapa haki nyingine kama vile mtanzania lakini sio uraia wa pili. Mfano: Sio lazima aombe Visa, muda wa kukaa nchini, kumiliki biashara, Ardhi na vinginevyo.

Lakini haruhusiwi kupiga kura, hawezi kuwa mbunge, waziri au rais.

Sasa sheria zote hizo zinaweza kupitishwa na serikali na bungeni bila kuwepo sheria ya uraia wa nchi mbili au tatu.

Watu wengi naona wanashindwa kuelewa hivyo, hicho kipengele cha (59)ndivyo inavyosema.

Natumai itasaidia kuwaelewesha jamii.

Shukran

H.A.K (Maryland)