#HABARI
Rasimu ya tatu ya Bunge maalum la katiba nchini Tanzania imepita kwa
theluthi mbili za wajumbe kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.
1. ZANZIBAR.
* Sura ya Kwanza Ibara ya 1 hadi 11 imepata theluthi Mbili
* Sura ya Pili Ibara ya Ibara ya 12 hadi 21 imepata theluthi mbili
* Sura ya Tatu Ibara ya 22 hadi 22 hadi
26 imepata theluthi mbili* Sura ya Pili Ibara ya Ibara ya 12 hadi 21 imepata theluthi mbili
* Sura ya Tatu Ibara ya 22 hadi 22 hadi
* Sura ya Nne Ibara ya 27 hadi 30 imepata theluthi mbili
* Sura ya Tano Ibara ya 31 hadi 64 imepata theluthi mbil
*Sura ya Sita Ibara ya 65 hadi 69 imepata theluthi mbili
*Sura ya Saba Ibara ya 70 hadi 75 imepata theluthi mbili
*Sura ya nane Ibara ya 76 hadi 121 imepata theluthi mbili
*Sura ya Tisa Ibara ya 122 hadi 123 imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi Inara ya 124 hadi 157 imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Moja Ibara ya 158 hadi 161 imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Mbili Ibara ya 162 hadi 202 imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Tatu Ibara ya 203 hadi 208 A imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Nne Ibara ya 209 hadi 221 imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Tano Ibara ya 222 hadi 242 A. imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Sita Ibara ya 243 hadi 257. imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Saba Ibara ya 258 hadi 269. imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Nane Ibara ya 270 hadi 274. imepata theluthi mbili
*Sura ya Kumi na Tisa Ibara ya 275 hadi 289. imepata theluthi mbili
KWA MATOKEO HAYO NI KWAMBA IBARA ZOTE 289 ZIMEPATA THELUTHI MBILI KWA UPANDE WA ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment