Advertisements

Sunday, October 26, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA FIND RAISING SOS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza kwenye ghafla ya kuchangisha mfuko wa kuendeleza watoto yatima wa kijiji cha SOS Zanzibar katika ukumbi wa Serena Hotel jana jioni, Jumla ya shilingi milioni 201 zilizokuwa zikihitajika zilichangishwa.
Mkurugenzi wa Kituo cha SOS Tanzania Anatoli Ruganuka kulia akimkabidhi zawadi maalum Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kwa kutambua mchango wake kwenye ghafla ya kuchangisha mfuko wa kuendeleza watoto yatima wa kijiji cha SOS Zanzibar iliyofanyika ukumbi wa Serena Hotel jana jioni, Jumla ya shilingi milioni 201 zilizokuwa zikihitajika zilichangishwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti Mwakilishi wa Redio one na ITV Farouk Karim kwa kutambua mchango wa kituo hicho kwenye ghafla ya kuchangisha mfuko wa kuendeleza watoto yatima wa kijiji cha SOS Zanzibar iliyofanyika ukumbi wa Serena Hotel jana jioni, Jumla ya shilingi milioni 201 zilizokuwa zikihitajika zilichangishwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza kwenye ghafla ya kuchangisha mfuko wa kuendeleza watoto yatima wa kijiji cha SOS Zanzibar katika ukumbi wa Serena Hotel jana jioni, Jumla ya shilingi milioni 201 zilizokuwa zikihitajika zilichangishwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati ya uongozi wa kijiji cha kulelea watoto yatima cha SOS Zanzibar wakati wa ghafla ya kuchangisha mfuko wa kuendeleza watoto yatima wa kijiji cha SOS Zanzibar iliyofanyija jana usiku Octoba 24-2014 katika ukumbi wa Serena Hotel, Jumla ya shilingi milioni 201 zilizokuwa zikihitajika zilichangishwa. Picha na OMR

No comments: