Msanii kutoka Nchini Marekani T.I akitoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar Katika Show ya FIesta iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Leaders.
Msanii Davido kutoka nchini Nigeria Akiwajibika
Diamond Platnumz akitoa burudani
Vanessa Mdee
Dimpoz kwa pozi
Ommy Dimpoz
Mashabiki
Banana
Young Killa
Waje kutoka NIgeria
Mashabiki wakishangweka
Victoria Kimani akiwajibika
Rachel Kazini
Rachel na wakata mauno wake.
Barnaba
Shaa na steji shoo wake wakiwajibika
Shaa akikata mauno
Picha zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
Staa wa Bongo Fleva Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya Leaders Club.
Msanii kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke 'Davido' akamua kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar.
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumzakifanya makamuzi na Davido (kulia).
Picha kwa hisani ya Aloyson.com
5 comments:
I wish I could be home y'all,that's what up big up clouds fm
Wahaya wanasema TI kirefu chake ni Tibashubanyuma Ishengoma.
Huyo mtoa maoni wa kwnza anaonekana ni wa kuja kwani hata English yake ni ya ki fleva tu. Yaani mtu unatamani kuwa nyumbani kwa ajili ya kuja kuangalia karaoke, kwani huko majuu hakuna baa za kucheza karaoke? Ndiyo hawa utakuta mtu anakaa marekani anarudi Bongo kichwani hamna kitu.
SASA KUSIFIA NYUMBANI NI USHAMBA? TAFUTA NA WEWE HUKU UJE UONE DUNIA ,KWANI NYUMBANI NDIO HAKUSIFIWI KWA SABABU NI AFRIKA?
FAGILIA BONGO WEWEEEEEEEE!!!!
Kuna vya kufagilia ila si upuuzi kama Fiesta.
Post a Comment