Mratibu wa Matawi ya CCM Marekani Loveness Mamuya aliwaomba wanaCCM Wichita wawe mfano bora Kwa kujitokeza kwenye jumuiya ya TaWichita kwani Jumuiya ni kwanza na kuwaomba waweze kupendana na kushirikiana kwanza kama watanzania. Tumefungua matawi tukiwa na niya ya kukutanisha watanzania ili waweze kuchangia maendeleo ya Nchi yetu. Chama Cha Mapinduzi kinatambuwa jamii ya watanzania na ushirikano wao. Pia aliwaomba watu wajiunge na jumuiya kwanza na kushirikiana kwa karibu na vilevile kukemea kujiunga na CCM bila ya kujiunga na jumuiya zetu kwani Watanzania lazima tuheshimiane katika makundi ya siasa bila kujali umetoka chama kipi bali zaidi tubishane kwa hoja
Mwenyekiti wa Shina la Wichita Patrick Mbezi
Katibu wa Shina Ndugu Cyprian Mayemba Akisema Machache Kwenye Ufunguzi
Kutoka Kushota - Katibu wa Shina la Oklahoma Edgar Chiwanga, Mwinyekiti wa Shina la Patrick Mbezi na Ndugu Moses Hosea
Mwenyekiti wa Shina la Oklahoma Emmanuel Kamala akipata Ukodak na MwanaCCM wa Wichita Anna Mambali
Mwenyekiti wa Shina la Oklahoma Emmanuel Kamala, Felix Mgimwa na Mratibu wa Matawi CCM Loveness Mamuya
Mwenyekiti wa Shina la Oklahoma Emmanuel Kamala akipata Ukodak na MwanaCCM wa Wichita Moses Hosea
Mwenyekiti wa Shina la Oklahoma Emmanuel Kamala akipata Ukodak na MwanaCCM wa Wichita
Mwenyekiti wa Shina la Oklahoma Emmanuel Kamala akipata Ukodak na Raisi wa Jumuiya ya Watanzania Wichita Rahma
Mwenyekiti wa Shina la Oklahoma Emmanuel Kamala akipata Ukodak na MwanaCCM wa Wichita Bwimbo Kajanja aka Mambo ENT.
Mwenyekiti wa Shina la Oklahoma Emmanuel Kamala akipata Ukodak na Zai Mipawa