
Msanii wa Bongo Fleva Hasfa Kazinja ameandika kwenye ukurasa wake wa facebook kwamba amebadili dini na sasa anajulikana kama Christina Kazinja, msanii huyo ambaye maarufu kama malikia wa Zouk na aliyetamba na wimbo wake wa pressure aliomshirikisha msanii mwingine wa Bongo Fleva Banana Zorro.
Hapa chini ndicho alichokiandika kwenye ukurasa wake wa facebook.

3 comments:
Inna Lilah waina ilaihi rajiuun
MWACHE AENDE MWANAKWENA HUKO AKUTAKAKO.
Huenda ukafanikiwa huko ulipokwenda,nakutakia maisha mema.
Post a Comment