Advertisements

Friday, November 21, 2014

Sikiliza MISHUMAA YA KALE live....Dj Luke na Mubelwa Bandio

Photo Credits: Ye Olde Vivyl Shoppe
Baada ya pilika za wiki nzima, na mchamchaka wa maisha, sasa unakuja wakati wa kuburudika na muziki halisi wa zamani.
Ungana SASA na MixMaster Dj Luke Joe kwenye "one and two" na Mubelwa Bandio nyuma ya kipaza sauti kwenye kipindi kipya cha MISHUMAA YA KALE kitakachokujia kila Ijumaa kuanzia saa 11 kamili jioni mpaka saa 1 kamili usiku kwa majira ya Marekani ya Mashariki (5:00pm - 7:00pm EST)
Ungana nasi kupitia www.kwanzaproduction.com
na kwa uliye Marekani na Canada piga simu 857 216 6565
MixMaster DJ Luke Joe. Photo Credits: IskaJojo Studios
Mubelwa Bandio


No comments: