ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 21, 2014

UCHUKUAJI NA UREJESHAJI WA FOMU SERIKALI ZA MITAA LASHIKA KASI


Michael Mgungusi (Chadema) akionyesha fomu yake. 
Mgombea wa nafasi ya Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mikoroshini, (Chadema) kupitia Ukawa, Yohana Mmbaga (kulia) akipokea fomu ya kuwania nafasi hiyo kutoka kwa Ofisa Mtendaji wa Mtaa wa Mikoroshini, Furaha Libangu.
 

 Mgombea wa nafasi ya Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mikoroshini, (Chadema) kupitia Ukawa, Yohana Mmbaga akisaini fomu zake huku Ofisa Mtendaji wa Mtaa wa Mikoroshini, Furaha Libangu akishuhudia.

 Yohana Mmbaga akionyesha fomu yake.

Mgombea nafasi ya Mwenyekiti  Serikali ya Mtaa, Michael Mgungusi (Chadema), akichukua fomu ya kugombea nafasi hiyo kutoka kwa Ofisa Mtendaji wa mtaa wa Mikoroshini, Msasani, jijini Dar es Salaam, Furaha Libangu (kushoto). Mgungusi anagombea nafasi hiyo kupitia Ukawa.
 
 Michael Mgungusi (Chadema) akisaini fomu.Picha na Francis Dande

No comments: