ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 1, 2014

BODI YA KAHAWA NCHINI(TCB) YAZINDUA MTAALA ENDELEVU WA KITAIFA JUU YA ZAO LA KAHAWA NCHINI

Mkurugenzi mkuu wa Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB) Adolf Kumburu akitoa neno wakati wa uzinduzi wa mtaala endelevu wa kitaifa juu ya zao la Kahawa ,uzinduzi uliofanyika katika ukumbi wa mikutano ya Bodi ya TCB.
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB) Alhaj Dk Juma Ngasongwa akichangia wakati wa uzinduzi wa mtaala endelevu wa kitaifa juu ya zao la Kahawa.
Mwakilishi wa Cafe Africa nchini Tanzania ,Catherine Mwangata akifafanua jambo wakati akiwasilisha mtaala endelevu wa kitaifa juu ya zao la Kahawa uliozinduliwa na Bodi ya Kahawa nchini (TCB).

No comments: