Katibu Mkuu wizara ya nishati na madini, Eliakim Maswi, aliyesimamishwa, akitafakari jambo, wakati Rais Jakaya Kikwete akihutubia taifa kupitia wazee wa jiji la Dar es Salaam, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Jumatatu Desemba 22, 2014
Katibu Mkuu wizara ya nishati na madini, Eliakim Maswi, aliyesimamishwa, akifuatilia hotuba ya Rais Jakaya Kikwete
Katibu Mkuu wizara ya nishati na madini, aliyesimamishwa, Eliakim Maswi, akielekea kwenye gari lake wakati akitoka ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, JumatatuDesemba 22, 2014, baada ya kusikiliza hotuba ya Rais Jakaya Kikwete. Picha kwa hisani ya K-VIS Blog.



1 comment:
hakuna kitu professor tibainyuka kawajibishwa hawa wanashimamishwa wakati pesa za escrow ni vijisenti na vya IPTL ni nyingi sana na watu wanadunda tu.
na hata wakishimamishwa au kuwajibishwa wanatakuwa bado wanakula mafao yao na pia wanakuwa wanalipwa kama wako kibaruani.chezea ccm wewee.
ndo maana watanzania msiwe wajinga na ushabibi wa watu kufukuzwa kusimamishwa sijui nini na nini hakuna kitu CHANGA LA MACHO TUU hili upepo ukiboa utaona wako serikalini tena kama wao sio.
Post a Comment