Advertisements

Saturday, December 13, 2014

MAMA SALMA AFUNGA KAMPENI KWA KISHINDO LINDI

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, anayewakilisha Lindfi mjini, mke wa rais Mama Salma Kikwete, akipungia wafuasi wa chama, hicho wakati akiwasili kwenye mkutano wa kampeni huko Mingoyo mkoani Lindi. Maelfu ya wanachama wa CCM, na wananchi walifutika kwenye mkutano huo wa kuwanadi wagombea wa nafasi mbalimbali za serikali za mitaa kwenye uchaguzi utakaofanyika Jumapili Desemba 14, 2014 kote nchini
Mama Salma akiwa kwenye kikao cha ndani cha kimkakati nawajumbe wa Tawi la Nanyanje lililopo katika Kata ya Chikonji katika wilaya ya Lindi Mjini. Uchagzui wa serikali za mitaa utafanyika kote nchini, leo Jumapili
Maelfu ya wananchi wakimsikiliza mama Salma
CCM Oyeeeeee
Mama Salma akihutubia katikati ya wananchi
Hotuba inaendelea
Mke wa rais, Mama Salma Kikwete, ambaye pia ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM akiwakilisha Lindi mjiniu, akiwapigia debe wagombea wa chama hicho, kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini kote Jumapili Desemba 14, 2014

No comments: