ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 7, 2014

MKUTANO WA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA (NEC)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) wakiwa katika kikao cha siku moja cha Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
Wajumbe wa Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wakiwa katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja ulipofanyika mkutano huo leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.
Wajumbe wa Sekretarieti wa Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja wakiwa tayari kuweka kumbu kumbu kwa mabo yote yatakayozungumzwa katika Mkutano huo uliofanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akitoa taarifa kwa Wajumbe wa Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya (NEC) katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja kiako hicho kilifanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi (kushoto). Picha na Ikulu.

No comments: