Advertisements

Wednesday, December 24, 2014

MTOTO WA TIBAIJUKA ALICHOJITIRIRISHA KWENYE MTANDAO WA KIJAMII BAADA YA MAAMUZI YA MH. RAIS


Siku ya jana baada ya Rais kutangaza rasmi kwamba Mh Anna Tibaijuka anachia nafasi yake ili wengine waongoze mtoto wake wa kike anajulikana kwa jina la Kagem Tibaijuka ameibuka kwenye ukurasa wake wa Twitter akiwatukana wanachi matusi ya nguoni bila hata ya kuangali kama mama yake anamakosa au lah na alicho kiandika sasa hiki hapa chini

6 comments:

Anonymous said...

pumbavu sana huyu hivi wanafikiri serikali hiyo ni ya ukoo,ashukuru ni tanganyika bado wamelala,ingekuwa china yangekuwa kama mateka wa marekani wanavyofanyiwa kule syria.

Anonymous said...

This kid is bogus I need to know which school did she graduated!!, like a mom like a daughter. She doesn't understand that her mom took the money and deposit to her personal bank account instead of school bank account. She was getting ready to buy presidency next year, she knows better than that, i.e Jk fired her if she deposited that money to school bank account she will be a minister now. She needs to acknowledge her mistake and move forward with life.With media she keep insist that money for school without saying I made human error to deposit school money to my personal bank account. Big up JK for that decision.

Anonymous said...

Sio pumbavu tu, ni kapumbafu sana....hata kimombo kinampiga chenga. Hivi umelelewa na baba na mama, au na mzazi mmoja? Sasa unachojivunia ni hiyo Tsh. 1.6 bn ya wizi? Pumbafu wee jifunze adabu we mtoo

Anonymous said...

Jamani kumradhi. Hivi hamjamsikia mama yake huyo prof? wanasema birds of the same feather ...

Pumba kama za mama yake si ajabu. wote wenda wazimu!

Anonymous said...

na mkome mna wana wenu na ndugu zenu sijakiona alichokisema kibaya huyu mtoto hebu rudini shule mkasome kama hamjui kusoma.

kwani kosa la mama yake nini kwani yeye peke yake ndo aliyachukua hizi pesa? waziri wa fedha aliyeidhinisha yupo wapi,kina muhogo na viazi vibichi wako wapi?

afadhali ya mama yake kasema wao mafisadi wengine wameufyata.

unajua wakati sakala la IPTL linapoanza waziri wa fedha na pia waziri wa mambo ya njee wao waliyakinisha mikataba hii mibofu.

kama hajui historia ya ufisadi ni bora mnyamazi si kumuhukumu mama wa watu bure yeye si mwizi MBUNIFU kama hao WENZAKE WALIO KUBUHUU MIJIZI SUGUU.

someni mambo na ndo mje hapa ko comment otherwise you all wapumbafu tu kama mnavyomwita huyu mtoto wa watu.

Anonymous said...

Tanzania ukimwa mwizi uwe kimya ufyate ukiropoka wanakukaba walio wezi wazoefu maskini mama tibaijuka maskini mama wee next time ujifunze kukaa kimya kama wao wezi walio kubuhuu.

kula kimya kimya kama panya next time mama kuwa kama wao mijizi ya kufyata na kuwafanya mitanzania mipumbavu