Advertisements

Sunday, December 21, 2014

PINDA ZIARANI QATAR

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu wa Qatar , Sheikh Abdullah Nasser Al Thani kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha Jumapili Desemba 21, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Abdullah Nasser Al Thani kwenda kwenye chumba cha mikutano baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Kamani (kulia) akizugumza na Waziri wa Mazingira wa Qatar, Ahmed bin Amir Al Humaidi , kwenye Hoteli ya Sheraton iliyopo Doha nchini Qatar. Desemba 21, 2014.

1 comment:

Anonymous said...

mwarabu mbaya kiatu chake dawa