Advertisements

Sunday, December 21, 2014

THC 1st ANNUAL GALA DINNER YAFANYIKA HOUSTON

Jumuiya ya Watanzania usiku wa jana ilifanya Dinner Gala ya kukata na shoka katika Ukumbi wa Safari Texas Ranch. Mgeni rasmi katika Dinner hiyo iliyohudhuriwa na idadi kubwa wa Watanzania kutoka nje na ndani jiji la Houston alikuwa ni Sheriff wa Harris County Adrian Garcia. Pata picha za shughuli hiyo hapa chini.
Sheriff Garcia akiwa na wenyeji wake kutoka kushoto Mahono, Katibu Nkunga, Monica, Madam President Nuru Mazora,Mrs.Garcia,Mama Tenende na Mzee Tenende
Sheriff Garcia akipata selfie na wenyeji wake 
Madam President Nuru Mazora akiwa na Sheriff Garcia 
Garcia, Tenende and Nkunga 
Team ya Uongozi wa THC kwenye picha ya pamoja 
Wana Houston 
Mkurugenzi mteule wa TPDC Dr James Mataragio (wa pili kutoka kulia) akiwa na wadau wa Houston 
Madam President wa THC akiwa na Mrs.Garcia 
Da Linda from Atlanta 
Rahim Chomba akiwa na Shasha 
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Drew & Wash Drew 
more pics : http://mlongokihoma.blogspot.com/2014/12/thc-1st-gala-dinner-yafanyika-houston.html

1 comment:

Anonymous said...

A huge community of 10! 😜