
Pope Francis akiifunua sanamu ya mtoto Yesu siku ya Desemba 24, 2014 wakati alipokua akiongoza misa ya mkesha wa Krismasi kwenye mji wa Vatican.

Pope Francis akibusu goti sanamu ya mtoto Yesu siku ya Desemba 24, 2014 wakati alipokua akiongoza misa ya mkesha wa Krismasi kwenye mji wa Vatican.

Pope Francis akiongoza misa ya mkesha wa Krismasi katika kanisa la Mt. Peter ndani ya mji wa Vatican.
Misa ya mkesha wa Krismasi ikiendelea.
Pope Francisakiongoza Misa ya Krismasi mjini Vatican kwenye mkesha wa Krismasi.

Masista wakifuatilia misa ya mkesha wa Krismasi.

Mapadre nao wakifuatilia misa ya mkesha Krismasi mjini Vatican usikuwa Desemba 24, 2014. Picha na Zimbio.
No comments:
Post a Comment