Advertisements

Friday, December 19, 2014

WAALIMU PEMBA KATIKA WARSHA YA USOMESHAJI NA UTUNGAJI MITIHANI KITAALAMU

WASHIRIKI ambao ni waalimu wa vyuo mbali mbali kisiwani Pemba, kikiwemo chuo cha amali Vitongoji Chakechake, wakimsikiliza Afisa wa mafunzo ya amali Pemba, mwalimu Othuma Zaidi Othaman wakati akielezea umuhimu wa mafunzo kwa waalimu hao, juu ya namna ya kuandaa mitihani kwa njia ya kisasa.
MRATIBU wa Mamlaka ya mafunzo ya amali Pemba mwalimu Juma Suleiman, akimkabidhi mmoja wa waalimu wa vyuo mbali mbali ambao wamemaliza mafunzo yao ya siku kumi ya kuwapa mbinu waalimu ya usomeshaji na utungaji mitihani kitaalamu
AFISA Mdhamini wizara ya elimu Pemba Salim Kitwana Sururu akizungumza kwenye sherehe za siku ya wazazi zilizofanyika uwanja wa tenis mjini Chake chake ambapo, ziliandaliwa na skuli ya maandalizi ya Star ya Kichungwani Chakechake. Picha na Haji Nassor, Pemba

No comments: