Advertisements

Friday, January 2, 2015

KUMBE UJAUZITO WA AUNTY EZEKIEL NI WA HUYU JAMAA!


Kwa siku za nyuma uliwahi kusikia kwamba Msanii wa bongo movie Aunty Ezekiel aliwahi kulala na Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz sasa kwa taarifa zilizopo ni kwamba ndiye mmiliki wa mimba ya Aunty Ezekiel, Mose Iyobo.
Kupitia instagrm ya Mose Iyobo alipost picha hii hapa chini na kuandika hivi;
‘Lazima tujifunze kutofautisha kati ya kitambi na mimba lakini hapa kuna utata…..mimi ni mmoja kati ya wasio elewa hiki ni nini….au wewe ulikuwa unaonaje hiki ni kitambi au mimba….. na kama hii ni mimba basi congratulation to my beib. …….AEZKL’

5 comments:

Anonymous said...

Hongera Aunt Ezekieli kwa kuamua kuuza mtoto wako,,mungu akukuzie.

Anonymous said...

uhuni ndo walikalia nao hakuna zaidi ya hilo wenzaao wanasoma wanafanya kazi nzuri na kutengeneze pesa nzuri na kuheshimika wao misifa misifa isoyo na mpango na ngono kila pembe. jiulize mwanammke aliolewa na mume halali halafu anakwenda shika mimba ya mwanamme mwinginewe jiulize huyu mwanammke wa aina gani na ndo hawa tunataka wawe kioo cha jamii yetu.

Jay said...

Ustaa Bongo ni shideeer. Mimi na wasanii wa kibongo tofauti kabisaaaa.

Anonymous said...

kamuuza mtoto wake?hebu tupashe kamuza kivipi.

mungu mkuziye vipi tena na katenda vibaya kwa mwenziwe kuuza mechi njee

jackline harry said...

Mungu amtangulie aunty na mtoto wake tumboni