Advertisements

Tuesday, January 27, 2015

MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MSTAAFU LUDOVICK UTOAH AAGWA

Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za Serikali Mstaafu Ludovick Utoah akitoa nasaha katika hafla ya kuagwa kwake aliyoandaliwa na taasisi ya wakaguzi wa hesabu binafsi nchini.
Mwenyekiti wa taasisi ya wakaguzi wa hesabu binafsi nchini Bwana Chacha akimpongeza Bwana Utouh baada ya hotuba yake.
Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za mashirika ya umma Zitto Kabwe akimpongeza CAG mstaafu katika hafla ya kuagwa kwake aliyoandaliwa na taasisi ya wakaguzi binafsi wa hesabu nchini.SOURCE:GPL

No comments: