Advertisements

Tuesday, January 27, 2015

MWANASHERIA MKUU GEORGE MASAJU AAPISHWA BUNGENI

Mwnasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, akiapa bungeni mjini Dodoma leo Jumanne Januari 27, 2015, ili kufanya kazi yake bungeni
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu, (Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama bungeni mjini Dodoma leo Jumanne Januari 27, 2015
Spika wa bunge Anne Makinda, akiongozwa kuingia bungeni mjini Dodoma leo Jumanne Januari 27, 2015
Waziri Mkuu, akiteta jambo na Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo, (Kulia), bungeni mjini Dodoma leo
Pinda akiteta na mbunge wa Arumeru Mashariki, Josehua Nasari
Waziri Mkuu Pinda akipeana mikonona Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju mara baada ya kula kiapo

No comments: