Mgeni wa Dr Temba kutoka California mwenye taaluma ya sheria akiweka alama ya kidole kimoja juu akimaanishaTanzania ni number one na kitenge chake shingoni alichopewa na Dr Temba.
Hapa ni mke wa Dr Temba na marafiki zake na vazi la dira wakisherehekea mwaka mpya kwa style ya vazi hilo la dira ingawa siyo Watanzania lakini walilipenda vazi hili maarufu kwa akina mama wa Kitanzania.
Dr Temba akipata ukodak na mgeni wake kutoka California kwa picha zaidi.
http://tembaphoto.com/
http://tembaphoto.com/
3 comments:
hivi dr Temba anawatoto na kazaa na huyu mama watoto hao.
na si kanga hiyo kavaa mzungu mbona mnasema kitenge.
jamaa sasa ni ccm nini kama si ccm wacha tumuigize kwenye chama ndo tuwapate hawa nafasi ndo hii.mr Temba wapigiye sera za ccm
I don't understand!!!! what is this about????!!!!
Post a Comment