
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyelazwa akipata matibabu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaaam jana.Brigedia Jenerali Hashim Mbita ni mwanasiasa mkongwe ambaye aliwahi kuwa mmoja wa viongozi waandamizi katika harakati za ukombozi Barani Afrika

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyelazwa akipata matibabu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaaam jana.Brigedia Jenerali Hashim Mbita ni mwanasiasa mkongwe ambaye aliwahi kuwa mmoja wa viongozi waandamizi katika harakati za ukombozi Barani Afrika(picha na Freddy Maro)
1 comment:
INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJIUN. REST IN PEACE MZEE WETU.......
Post a Comment