ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 28, 2015

SIMBA YADUNDWA 'HOME' KWEUPEEEE NA MBEYA CITY

Wachezaji wa Simba, Golikipa Manyika Peter (wa pili kushoto) na Awadhi Juma (kulia) wakimbembeleza beki wa timu iyo,Nassoro Masoud, wakati akilia baada ya kukosa penati dakika za mwisho, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, dhidi ya Mbeya City mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo jiono. Katika mchezo huo Mbeya City ilishinda mabao 2-1.
Mshambuliaji wa Simba,Ramadhani Singano (kulia) akiwatoka wachezaji wa Mbeya City,katika mchezo huo wa Ligi kuu Tanzania Bara,kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Simba,Ibrahim Hajibu (katikati) akiwania mpira na mabeki wa Mbeya City,Juma Nyoso (kulia) na Yusuph Abdallah,katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara.Simba ilifungwa mabao 2-1.
wachezaji wa simba wakishangilia bao dhidi ya mbeya city ka mchezo wa ligi kuu
Ramadhani Singano Mess akiwatoka waloinzi wa timu ya mbeya city
dan serukuma na beki wa mbeya city wakliwania mpira
washabiki wa simba hawaamini kwa kufungwa na mbeya city bao2-1katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom wakishindwa kuondoka uwanjani BAADA YA CHOLO KUKOSA PENATI
washabiki wa simba hawamini kilichotokea baada ya kufungwa na mbeya city 2=1 ligi kuu
washabiki wa simba maarufu wanajulikana kama simba ukawa wakishagilia
muuokota mipira uwanjani akikinga jua kwa kutumia mpira
mchzaji wa simba Ibrahgim Wajibu akiwatoka walinzi wa mbeya city
yupi kati yetu atawahi kuchukua mpira huu
wachezaji wa mbeya city wakishangiliabao la kusawazisha
wachezaji wa simba wakishangilia bao la kwanza
wachezaji wa mbeya city wakishangilia bao la pili lililofungwa njia ya penanti
wakishangilia bao la ushindi kwa simba
mashabiki wa mbeya city wakishangilana vuvuzela
mashabiki wa mbeya city wakishangilia
mashabiki wakishangilia kwa ushindi
mchezaji wa simbaIbrahim wajibu akiruka juu na kumkali begani beki wa mbeya city simba imelala kwa bao 2=1
golikipa wa simba manyika perter akifungwa bao la pili kwa njia ya pernati PICHA ZOTE NA MZUKA BLOG NA SUFIANIMAFOTO

1 comment:

Anonymous said...

Wot will happen if Simba wakishushwa daraja? They have invested so much on players and coaches and yet they can't win a game.