Nguo hii ndiyo Miss Universe Tanzania 201 Nale Boniface ndiyo alijitambulisha nayo kwenye mashindano yaliyofanyika FL Marekani usiku wa jumapili january 25. Vazi hili lilijulikana kama national costume jitiririshe na mavazi ya warembo nchi zingine hapa chini.
Miss Russia
Miss U.S.A
Miss Venezuela
Miss Jamaica
Miss Canada
Miss Dominican Republic
Miss Lebanon
Miss India
Miss Great Britain
Miss Finland
Miss Israel
Miss Ireland
Miss South Africa
6 comments:
HILO VAZI LA TAIFA GANI?????
Ebu acheni utani jamani......huyo mwakilishi wetu na hizo kamba kamba, hirizi na makatani ni mganga wa jadi au ? Hii ni aibu kwa walioandaa, hivi hamuoni tofauti kubwa kati yake na hao wengine?
NI AIBU KUBWA SANA, TANZANIA KUNA GOLD, DIMOND NA TANZANITE, TENA TZ TUNAJULIKANA TANZANITE INATOKA KWETU KWA NINI HAO WABUNIFU WASIBUNDI VAZI YA HATARI KABISA LA KUNG'ARA KAMA NCHI NYINGINE?? UBANIZI NA POOR PREPARATION ITAFANYA TZ ISINDIKIZE NCHI NYINGINE. HALAFU PIA NI VYEMA KUTOWAVALISHA MAMISS MAWIGI MAANA INAJULIKANA NYWELE ZA KIAFRIKA ZILIVYO, MISS JAMAICA NI MFANO WA KUIGWA, FLAVIANA MATATA NI MFANO MZURI. ALL IN ALL ACHENI UTANI WAANDAAJI WA HAYO MASHINDAO OTHERWISE SI LAZIMA MWENDE HUKO.
Aibu hizi hadi lini
SISHANGAI KWANZA AIBU KWELI SI ANGEVAA HATA KIMASAI JAMANI?STUPID
Bora angeazima vazi la kimasai ijulikane ni moja ya mavazi asilia bongo kuliko tunguli!!!!khaaa
Post a Comment