ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 25, 2015

VAZI LA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 KAMA NATION COSTUME



Nguo hii ndiyo Miss Universe Tanzania 201 Nale Boniface ndiyo alijitambulisha nayo kwenye mashindano yaliyofanyika FL Marekani usiku wa jumapili january 25. Vazi hili lilijulikana kama national costume jitiririshe na mavazi ya warembo nchi zingine hapa chini.
Miss Russia
Miss U.S.A
Miss Venezuela 
Miss Jamaica
Miss Canada
Miss Dominican Republic
Miss Lebanon
Miss India
Miss Great Britain
Miss Finland
Miss Israel
Miss Ireland 
Miss South Africa

6 comments:

Anonymous said...

HILO VAZI LA TAIFA GANI?????

Anonymous said...

Ebu acheni utani jamani......huyo mwakilishi wetu na hizo kamba kamba, hirizi na makatani ni mganga wa jadi au ? Hii ni aibu kwa walioandaa, hivi hamuoni tofauti kubwa kati yake na hao wengine?

Anonymous said...

NI AIBU KUBWA SANA, TANZANIA KUNA GOLD, DIMOND NA TANZANITE, TENA TZ TUNAJULIKANA TANZANITE INATOKA KWETU KWA NINI HAO WABUNIFU WASIBUNDI VAZI YA HATARI KABISA LA KUNG'ARA KAMA NCHI NYINGINE?? UBANIZI NA POOR PREPARATION ITAFANYA TZ ISINDIKIZE NCHI NYINGINE. HALAFU PIA NI VYEMA KUTOWAVALISHA MAMISS MAWIGI MAANA INAJULIKANA NYWELE ZA KIAFRIKA ZILIVYO, MISS JAMAICA NI MFANO WA KUIGWA, FLAVIANA MATATA NI MFANO MZURI. ALL IN ALL ACHENI UTANI WAANDAAJI WA HAYO MASHINDAO OTHERWISE SI LAZIMA MWENDE HUKO.

Anonymous said...

Aibu hizi hadi lini

Anonymous said...

SISHANGAI KWANZA AIBU KWELI SI ANGEVAA HATA KIMASAI JAMANI?STUPID

Anonymous said...

Bora angeazima vazi la kimasai ijulikane ni moja ya mavazi asilia bongo kuliko tunguli!!!!khaaa