BARAZA Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, leo katika ukumbi wa Lamada, jijini Dar es Salaam, limefanya kongamano lililowahusisha viongozi wa dini na Maimamu katika kuiendeleza jamii.
Akizungumza kwenye kongamano hilo, Katibu wa Baraza hilo Sheikh Rashidi Katimba alisema; “Hatutakuwa tayari kuupigia kura ya ndiyo mchakato wa Katiba mpya inayopendekezwa kama serikali na viongozi hawataki kuweka baadhi ya mahitaji ya Waislam tuliyopendekeza ikiwemo Mahakama ya Kadhi na mengineyo.
(Picha na Gabriel Ng’osha/GPL)
1 comment:
mambo ndo haya mpango mzima hatutaweza kuipigia kura ya NDIO,wasitufanye wajinga waislamu tumeshachoka kunyanyaswa na kudharauliwa kila siku miaka yote. imepoa sana kitu hichi baridi hakina noma.waislamu oyeeeeeeeeeee.
Allah awe na nyinyi daima amin thuma amin.
Post a Comment