Container lilitumwa na company ya AllAfrika Travel and Logistics limesha fika Tanzania na hapa likipakua mizigo ya wateja wake. Unangoja nini na wewe kama unachochote na ungependa kukisafirisha nyumbani Tanzania. AllAfrika ndiyo jibu na suluhisho la tatizo lako kwa usafirishaji salama na uwakika wa mali zako wasiliananao sasa popote ulipo na watakuja kuchukuliwa wakati wowote.
Hii ni mizigo ya wateja ikiwa tayari imeshachukuliwa.
Wateja wakichukua mali zao
Mali za wateja zikiwa salama baada ya kutolewa ndani ya Container.
Unangoja nini sasa wakati ni huu wa kusafirisha na AllAfrika Travel and Logistics.







No comments:
Post a Comment