ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 19, 2015

Iyanya kaisambaza hii na Diamond Platnumz leo.

Mara ya kwanza ilikua ni zamu ya Iyanya kushirikishwa na Diamond Platnumz lakini time hii ni zamu ya Diamond kushirikishwa na Mnigeria huyu staa wa hit single ikiwemo ‘Mr. Oreo‘

Iyanya ameamua kuiita hii single jina la Kiswahili ‘Nakupenda’ (I Love you) ambayo unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza play hapa chini. Credit:MillardAyo.com

1 comment:

Anonymous said...

nyimbo inafujo hajapoa,beats zimechanganywa vibaya.but big up diamond unajitahidi.

na sura ya iyanya imepoa tartibu anaonyesha mtu poa mwema.