Advertisements

Saturday, February 28, 2015

JOHN KOMBA AMEFARIKI DUNIA SAA KUMI JIONI KATIKA HOSPITALI YA TMJ

Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba amefariki saa 10 jioni katika hospitali ya TMJ Mikocheni leo hii taarifa zaidi kuwajia kupitia hapa hapa vijimambo.

1 comment:

Anonymous said...

hujafaa hujaumbika kifo hakichagui mzee wala mtoto mdogo hapa duniani tuposafarini tunapita njia tuu.siku yako ikifika unaondoka tuu.Tenda wema uondoke watu wakukumbuke usingoje shukurani hapa duniani.

sijui nani atamuibia nyimbo yeye katika msiba wake sasa.

RIP mr komba. na poleni wana familia wote pamoja na lulu Elizabeth.