Advertisements

Saturday, February 28, 2015

Masaa 24 kabla ya kuunguruma DMV: Ismail Jussa afanya ziara USA State Department

Amb. Donald Teitelbaum, Deputy Assistant Secretary, Bureau of African Affairs akiwa na Ismail Jussa US State dept jana
Mh. Jussa anatarajia kuunguruma MDV leo jion kuanzia saa kumi hadi mbili usiku.
Ataongelea mchakato wote wa Katiba: na uamuzi wa UKAWA kususia mchakato huo dhalimu. Kwa nini Diaspora walitengwa kutoa maoni na kwa nini UKAWA hawatashiriki kura ya maoni.
Mhe. Ismail Jussa (Muwakilishi wa Stone, Town, Zanzibar) kupitia chama cha wanainchi CUF na mjumbe wa UKAWA atakuwepo Washington, D.C. (DMV) kuongea na waTanzania Jumamosi February 28, 2015 kuanzia saa 10 jioni hadi mbili usiku (4pm-8pm). Zingatia muda

Agenda; Mchakato wote wa Katiba mpya
Ufafanuzi juu ya muundo wa serikali tatu
Uamuzi wa UKAWA kususia mchakato huo dhalimu 
Kwa nini Diaspora walitengwa kutoa maoni na uraia pacha
Maswali na majibu bila kikomo

AddressTABEER HALL
1401 UNIVERSITY BLVD, HYATTSVILLE, MD

No comments: