ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 14, 2015

MAADHIMISHO YA WIKI YA ULINZI NA USALAMA KWA WATOTO


Baadhi ya wananchi wakifanya usafi katika fukwe ya Msasani.…
Baadhi ya wananchi wakifanya usafi katika fukwe ya Msasani.Sehemu ya bango la kampeni hiyo.
Sehemu ya uchafu uliookotwa.
Mwenyekiti serikali za mtaa, kata ya bonde la mpunga, Seif Sudi akiwa na Mratibu wa usafi fukwe ya Msasani, Sarah Scott.
Baadhi ya wadau waliofanikisha kampeni hiyo.

Taasisi ya Nipe Fagio kwa kushirikiana na wakazi, marafiki wa ufukwe wa Msasani beach, leo wamefanya kampeni ya kusafisha ufukwe wa Msasani kwa kuokota takataka zilizozagaa katika fukwe hiyo.

Akizungumza GPL. Mkurugenzi wa Nipe Fagio, Tania Hamilton alisema Kampeni hiyo itafanyika kila Jumamosi ya pili ya mwezi ili kuweka mazingira safi katika jamii yetu, pia nutawashukuru wadhamini wetu; Archipelago, Regent Tanzania, Trima, Cool Blue, Spina and Span, Mzungu Kichaa na wengineo.

Zaidi ya watu 100 walihudhuria kampeni hiyo, na kufanikiwa kuokota zaidi ya mifuko 120 ya uchafu wa aina mbalimbali.

(Habari/Picha: Gabriel Ng’osha/GPL)

No comments: