Advertisements

Saturday, February 28, 2015

PITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO PANDE ZA ATLANTA GA.

Elvis akijiandaa kuingia barabarani na usafiri wake pande za Atlanta alivyokamatwa na ukodak wa vijimambo kiroho safi.
 Huu mji unaitwa Winder upo Mile 55 nje ya jiji la Atlanta Georgia ni mji wa kizamani hapo unaweza kujua kuwa Marekani sio maghorofa kuna viota vya chini chini pia kama hivi.

 Elvis Dotto ndiyo mwenyeji wa Ukodak wa vijimamno pande hizo za Winder. GA

No comments: