Huyu ni bingwa wa tattoo hadi kwenye macho kwajina anaitwa Rato

Mgongi unakutana na hii picha

Rato ni shida

Huyo anachorwa Batman mgongoni

Uwezi kuwa mume mke wa hawa jamaa hadi na wewe uwe mgonjwa wa mambo haya ya michoro siyo bure kila siku ubavuni mwako na mnategemea kupata watoto hapo usije kumlahumu mungu mkipata vampire.

Hii ilikuwa wiki ya matattoo iliyofanyika huko Brazil hapa Rato akiwa na mshirika wake wakiwa huko Brazil.

Hapo sasa


No comments:
Post a Comment