Advertisements

Wednesday, February 18, 2015

VALENTINE'S DAY NORTH CAROLINA KATIKA PICHA

Umoja wa Watanzania North Carolina unatoa shukrani kwa wanajumuiya waliofanikisha UTNC Valentine’s day A Tribute to Love Fundraising Dinner. Tunashukuru wote walioweza kuja na walioshindwa kuja kutokana na sababu mbalimbali.

(Photos by Lucas Mmanywa)
Mwenyekiti Anna akifuatilia event
Shabani akimpa mkewe zawadi kubwa siku ya valentine 2015
Eliud na Mama mwenye nyumba wake
Dr. Joshua na wife wake waki celebrate
Mariam na Husband waki enjoy dance
Picha kwa hisani ya http://www.utnc.org/blog
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mwenyekiti wa UTNC Anna na Mwenyekiti wa Social Zainab katika picha ya pamoja
Dada Agnetta, kiongozi UTNC
Teddy and Marsha celebrating Valentines day
Talkia na Mwenyekiti Anna
Niwagila na Mama mwenye nyumba wake, Agnetta na MJ katika picha ya pamoja
Flora kwenye UTNC Valentine’s event
Marsha kwenye UTNC Valentine’s event
Kemp na Zainab posing for the pict
Shaban na mama mwenye nyumba wake
Jane na Husband wake
Jane kwenye UTNC Valentine’s event
Teddy kwenye UTNC Valentine’s event

5 comments:

Anonymous said...

dmv wao ndo wamefunika bwana chezea dmv.wali organizes kisawa sawa watu wanakula denda za style za kimarekani.te teh tee.

walinifurahisha na kuisuuza roho yangu kweli kweli nilikua nawacheki huku kijijini kwetu chini ya mbuyu na ka laptop kanguu.

Anonymous said...

This is what i call civilized community! PARTY ya kistaarabu hatuoni watu wakifanya mambo ya chumbani in public! Hata watoto wao wakiangalia wanaona kweli we have parents! That is all i can say. Tupo ughaibuni tusiwe malimbukeni kusahau mila na desturi zetu. Good Job North Carolina!!

Anonymous said...

valentine party ya DMV naona imewachoma kumoyo eeh!

Anonymous said...

wwewe acha ulimbukeni, mambo yenyewe ya kukopi na kupesti, sasa ndio denda gani zile watu wanakabana na kulazimisha madenda. ovyooooo

Anonymous said...

mie nimeipenda hii zaidi....more natural