Advertisements

Monday, March 23, 2015

ALI CHOKI APAGAWISHA JAPAN

Mwimbaji mahili toka Tanzania Ali Choki akitoa burudani siku ya Jumamosi March 21, 2015 nchini Japan alipokua ameenda kwa ajili ya kukata kiu mashabiki wake huko. Katika safari hiyo Choki aliambatana na mcheza show super Nyamwela.
Dada kutoka Peru akiitikia wimbo wa Ali Choki siku ya Jumamosi March 21, 2014 siku mwimbaji huyo mahili toka Bongo alipofanya vitu vyake nchini Japan.
Choki akilishambulia Jukwaa.
Mcheza show Super Nyamwela akilishambulia jukwaa.
Wadau kutoka Kenya wakihudhuria onesho hilo.
Baadhi ya mashabiki wakipata picha ya kumbukumbu siku ya onesho hilo.
Picha na Mariam mwakilishi wa Vijimambo Japan.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi



No comments: