Advertisements

Monday, March 23, 2015

Madaktari Kutoa huduma bure kwa watoto Tanzania.

Madaktari bingwa toka nchini Marekani watawasili nchini Tanzania mwanzoni mwa mwezi wa sita ( june 2015 kwaajili ya kutoa huduma ya BURE kwa watoto wote wenye tatizo la kuzaliwa na mpasuko wa mdomo ( cleft lip). Huduma hizi zitafanyikia hospitali ya mkoa ya Mount Meru Arusha. Watoto toka mikoa yote wana karibishwa.Kama una mjua mtoto yeyote mwenye hili tatizo, tafadhali toa taarifa kwa mzazi au ndugu muhusika. Mwenye kuhitaji maelezo zaidi kwa wale walioko hapa Marekani, Tafadhali wasiliana na bwana Tom kwa namba ya simu 510 517 6047. Ujumbe mfupi wa simu pia utajibiwa.

No comments: