Advertisements

Saturday, March 28, 2015

DARASA LA KISWAHILI DMV JUMAMOSI MARCH 28, 2015


Mwalimu Asha Nyang'anyi akiwafundisha kiswahili watoto wa wazazi wa Tanzania wanajifunza kuzungumuza ikiwemo kusoma na kuandika lugha ya kiswahili katika Darasa la kiswahili linaloendelea kila siku ya Jumamosi kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa 12 jioni Silver Spring, Maryland na darasa likiwa chini ya Jumuiya ya Watanzania DMV.
 Watoto wa wazazi wa Kitanzania wakifuatilia somo la Kiswahili.
 Wanafunzi wa darasa la Kiswahili wakiwa darasani.
 Mwalimu Asha Nyang'anyi akiwapa somo la lugha ya Kiswahili wanafunzi wake.
 Mmoja ya wazazi akifuatilia ufundishwaji wa watoto darasani.


No comments: