Happy birthday Mr. Aidan Nyongo. Nifuraha ilioje kushare siku yako ya
kuzaliwa na watu uwapendao. Aidan amezaliwa leo tarehe 23rd March,
kipenzi chake, mkewe aliye pendezwa naye amezaliwa 19th of March, kijana
wake mpendwa pamoja na binti yake mpendwa wote wamezaliwa 14th of
March! Pia marehemu baba mkwe wa Aidan (R.I.P) alizaliwa tarehe 19th of
March!
Happy birthday to you all, the Nyongo’s family. Mbarikiwe sanaaaaa!
1 comment:
Aidan hongera umekuwa m baba my God .Nilienda shule moja kifungilo na your sister frida nyongo .umekua hongera
Post a Comment