Advertisements

Sunday, March 1, 2015

HIKI NACHO NIKIPAJI AU NDIYO MWANZO WA UPANYA RODI

Hapa ni full kwida ni kukwide mambo ya kitaa hayo najua ulishapitia hizi pinde 
T-shirt ya mtumba hapo ilipata nyuki wa kutosha dawa yake hapa ukipata upenyo ni kukimbia tu kwani mtaani hakuna kutenganishwa mnapigana mwanzo mwisho kama nguvu zako ni sa soda ni bora ugeuke kunguru.

No comments: