ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 1, 2015

WATU NA MATUKIO KATIKA MKUTANO WA MHESHIMIWA ISMAIL JUSSA


Pichan ni wana DMV waliofika kumsikiliza Mh.Jussa katika mkutano uliofanyika jana jJumamosi, Maryland USA, alielezea vipi katiba ilivyochakachuliwa na kutoa sababu kwa nini UKAWA hawatoshiriki katika kura ya maoni

No comments: