Advertisements

Friday, March 6, 2015

KAMATI YA BUNGE HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) YANYOOSHEA KIDOLE HALMASHAURI YA WILAYA YA MBULU

Mweka Hazina wa halmashauri ya wilaya ya Mbulu Nicolaus Harabu akijibu hoja mbele ya kamati ya hesabu za serikali ya mitaa LAAC ilipotembelea kukagua miradi mbalimbali ya Halmashauri hiyo.
Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Bunge Hesabu za serikali za Mitaa(LAAC) Azza Hamad akizungumza wakati wa kikao na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu wakati kamati hiyo ilipotembelea halmashauri kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.
Mjumbe wa kamati ya LAAC na Mbunge wa viti maalumu vijana,Tauhida Nyimbo akihoji jambo wakati wa kikao cha kamati hiyo kilipokutana na watendaji wa Halamashauri ya wilaya ya Mbulu. 
Wajumbe wa kamati ya Bunge ya Hesabu za serikali za mitaa (LAAC) wakiwa katika eneo ilipojengwa shule ya sekondari Singland kukagua ujenzi wa vyumba vya madarasa pamoja na nyumba ya mwalimu.

No comments: