Advertisements

Sunday, March 1, 2015

MPWA ATOA POLE KWA ELVIS KWA MSIBA WA BABA YAKE

Dj Luke (kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Elvis Mnyamuru (kulia) siku ya Jumamosi Februari 28, 2015 alipokwenda nyumbani kwake mji wa Winder uliopo maili 55 nje ya jiji la Atlanta jimbo la Georgia kummpa pole ya kufiwa na baba yake ambayo siku hiyo ilikua ni siku ya arobaini tangia kifo cha Mzee Ibrahim Mnyamuru. Kati ni Liganga mchezaji wa Stars United.

 Liganga akiwa na mama mwenye nyumba wake wakiwa nyumbani kwa Elvis Mnyamuru.
Elvis Mnyamuru katika picha ya pamoja na mama mwenye nyumba wake (kushoto) na mama mwenye nyumba wa Liganga.

No comments: