Advertisements

Sunday, March 1, 2015

YAMOTO BAND LIVE IN LONDON

Vijana wa Yamoto Band siku ya 21 February 2015 waliweka Historia katika jiji la London wakiwa ni watanzania wa kwanza kufanya Live show kwenye ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na mamia ya wakaazi wa Jiji la London na vitongoji vyake. video hapo chini ni Kionjo tuu cha mambo yalivyokuwa.


No comments: