Wednesday, March 11, 2015

PITA PITA YA VIJIMAMBO HOUSTON, TEXAS

 Dj Kay kama alivyokutwa na kamera ya Vijimambo ndani ya Madikodiko akijipatia menyu siku ya Jumatano March 11, 2015
Flora Mochiwa Madikodiko original akipozi katika picha.
 Madikodiko na Dj Kay wakipata ukodak Moment.
Dj Rex akiwa ndani ya Madikodiko kama alivyokutwa na kamera ya Vijimambo iliyopo ndani Houston kufuatilia Pazi Reunion itakayofanyika siku ya Jumamosi mjini hapa.

No comments: