Advertisements

Saturday, March 28, 2015

Shinda jezi ya Yanga kutoka Goal


Shinda jezi ya Yanga kutoka Goal

Goal inatoa nafasi kwa msomaji mmoja kujishindia Jezi ya Yanga
Share habari hii nzuri na rafiki zako na unaweza pata nafasi ya kujishindia Jezi ya Yanga iliosainiwa na Nadir Haroub Haroub “Cannavaro” na Haruna Niyonzima
Unachotakiwa ni kulike page ya Goal kwenye Facebook na kutufollow Twitter na kasha share hii post kwenye wall yako na marafiki zako
Ofa hii ipo wazi mpaka Jumapili Aprili 4, shiriki sasa upate kujishindia zawadi hii toka Goal

Follow Goal Tanzania on Facebook and Twitter.

No comments: