Advertisements

Sunday, March 1, 2015

USINGIZI NI BIASHARA UNAUZWA PIA HAPA

Chezea Masai wewe hapa uwezi kukwapua ukitaka kitu gusa miguu hili uhudumiwe na hii inaonyesha kuwa na usingizi unauzwa hapa kazi kwako ushindwe mwenyewe tu kujipatia mahitaji yako.

No comments: