ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 30, 2015

JUSTIN BIEBER KUUBEBA MKANDA WA MAYWEATHER ATAKAPOINGIA ULINGONI JUMAMOSI HII

Justin Bieber ni shabiki namba moja wa Floyd Mayweather ndio maana ataubeba mkanda wa bondia huyo wakati atakapoingia ulingoni Jumamosi hii.

Mayweather atapanda ulingoni siku hiyo kuzipiga na Manny Pacquiao.
Kwa mujibu wa The Sun, Bieber ataongoza msafara wa Mayweather wakati utakapopanda kwenye ulingo wa MGM Grand.
Chanzo kimoja kimeliambia gazeti hio: As long as his daughter wants Justin there he’ll be his main man. They get on really well.”
Mayweather anashikilia mikanda mingi ikiwemo ya WBC, WBA.

No comments: