Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMVBwn. Iddi Sandaly akimpokea Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi mara tu alipowasili siku ya Jumamosi April 25, 2015 Capitol Heghts kwenye nyama choma ya Jumuiya ya Watanzania DMV na yeye kupata fulsa ya kuwasalimia Watanzania waliohudhuria BBQ hiyo.
Meza kuu kutoka kushoto ni mama Sitti Mwinyi, Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula.
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn Iddi Sandaly akiongea kumshukuru Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kushiriki nao kwenye BBQ na baadae kumkaribisha kuongea na Watanzania wa DMV na majimbo mengine waliohudhuria nyama choma hiyo.
Watanzania na marafiki zao wakimsikiliza Bwn. Idd Sandaly.
Rais mstaafu akiwasalimia Watanzania na kuwapa salamu toka nyumbani.
Balozi Liberata Mulamula akiongea machache
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya wakiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Balozi Liberata Mulamula na Mama Sitti Mwinyi.
Nyama choma ikiendelea
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment