Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Iddi Sandaly na mweka hazina wake Bi. Jasmine Rubama wakiweka mahesabu sawa siku ya sherehe ya Muungano April 25, jioni iliyofanyika Beltsville, Maryland.
Wadau mbalimbali waliohudhuria sherehe hiyo wakipata picha ya pamoja.
Wadau wakipata ukodak moment.
Wadau waliohudhuria sherehe hiyo wakipata picha ya pamoja.
Watanzania wakijumuika pamoja na kupata picha ya kumbukumbu siku ya sherehe ya Muungano DMV iliyofanyika Jumamosi April 25, 2015 Beltsville, Maryland.
Wadau wakipata picha ya pamoja.
Wapendanao wakiwa katika picha.
Wapenda nao wakipata picha ya ukishikwa shikamana.
Watanzania waliohudhuria sherehe ya Muungano wakibadilishana mawili matatu
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
1 comment:
Nimependa picha za Japan wanaonyesha wako more family oriented. Kupeleka watoto kwenye hizi sherehe ni kufundisha watoto ingawaje wako mbali mambo ya nchi wazazi wao walikotokea. Huko Maryland na New York wanaacha familia nyumbani na kwenda kuparty peke yao.
Post a Comment