Mgeni rasmi wa hafla hiyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti
Mwakilishi wa Mmoja wa Mataifa na Mkuu wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa Tanzania, Dk. Jama Gulaid (kulia) akimpongeza mmoja wa wanahabari kabla ya kupokea cheti chake katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.
Mgeni rasmi wa hafla hiyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju (katikati) akizungumza katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.
Dk. Jama Gulaid Mwakilishi wa Mmoja wa Mataifa na Mkuu wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa Tanzania akizungumza katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.
Mwakilishi wa Mmoja wa Mataifa na Mkuu wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa Tanzania, Dk. Jama Gulaid (kulia) akimpongeza mmoja wa wanahabari kabla ya kupokea cheti chake katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.
Baadhi ya wanahabari hao wakielezea changamoto na namna walivyonufaika na mafunzo hayo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.
Mwakilishi wa TMF, Bi. Radhia akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa vyeti kwa wanahabari wabobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.
Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo (aliyesimama) akizungumza kutoa shukrani kwa washiriki wa hafla hiyo.
Baadhi ya wanahabari hao wakielezea changamoto na namna walivyonufaika na mafunzo hayo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.
Meza kuu ikiwapongeza baadhi ya wanahabari hao wakielezea changamoto na namna walivyonufaika na mafunzo hayo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.

Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Bi. Usia Nkhoma akitoa matangazo katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.
Baadhi ya wanahabari na wahariri pamoja na wageni waalikwa walihudhuria katika hafla ya waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti. Hafla hiyo ilifanyika ofisi za UN jijini Dar es Salaam juzi.
Baadhi ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti. Hafla hiyo ilifanyika ofisi za UN jijini Dar es Salaam juzi

No comments:
Post a Comment